HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta aapa kufanikisha vita dhidi ya ufisadi nchini

Rais Uhuru Kenyatta kwa mara nyingine ameapa kufanikisha vita dhidi ya ufisadi nchini. Rais anasema licha ya changamoto zinazojitokeza katika makabiliano haya serikali iki imara kuwadhibiti watu wanaopora mali ya umma. Rais pia anasema serikali imeboresha miundo msingi na usalama wa taifa ili kuboresha mazingira na kupunguza gharama ya kuendesha biashara nchini.

Show More

Related Articles