HabariMilele FmSwahili

Mtahiniwa wa KCPE Nandi akosa kukalia mtihani baada ya kuugua ugonjwa wa moyo

Mtahiniwa wa KCPE katika shule ya Kaboi, kaunti ya Nandi amekosa kukalia mtihani wake baada ya kuugua ugonjwa wa moyo. Ruth Chepkoech amekuwa akipokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya Moi mjini Eldoret. daktari wa moyo anasema mwanafunzi huyo hajaweza kufanya mtihani baada ya kudhoofika.

Show More

Related Articles