Swahili Videos

Walemavu 2,495 wajikakamua licha ya masaibu yanayowakabili

Huku mtihani wa kitaifa wa KCPE ukiingia siku yake ya pili hii leo, mamia ya wanafunzi walio na aina mbali mbali za ulemavu pia wamejizatiti kuufanya mtihani huo.
Dan Kaburu alizuru shule mbili katika mji wa thikana anaangazia jinsi wanavyokabiliana na mtihani huo licha ya changamoto za kimaumbile.

Show More

Related Articles