HabariPilipili FmPilipili FM News

Viongozi Wa Kidini Walaani Mauaji Yakiholela.

Viongozi wa kidini  eneo la pwani  wamekemea  vikali  mauwaji ya  kinyama  yanayolenga  wanawake  na watoto  nchini , viongozi hao wakiitaka serikali kupitia idara ya usalama  kuwachukulia  hatua kali wanaotekeleza maovu hayo.

Askofu wa kanisa katoliki  jimbo la pwani  Martin KIvuva pia ameitaka jamii kuzingatia mafundisho ya kidini, huku akikashifu vikali mauaji hayo.

Show More

Related Articles