HabariMilele FmSwahili

Mtahiniwa 1 wa KCPE afariki Kiambu alipokuwa akipokea matibabu hospitalini

Mtahiniwa moja wa KCPE kutoka shule ya Mwiting’iri kaunti ya Kiambu amefariki alipokuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Thika Level 5. Inaarifiwa mtahiniwa alikuwa anaugua na kwamba jana aliufanya mtihani wake hospitalini humo. Katika kaunti ya Laikipia mtahiniwa mwigine kutoka shule ya Ng’erecha amepatikana akielea katika bwawa moja akiwa amefariki. Anthony Wambugu anakisiwa kupotea alhamisi iliyopita.

Show More

Related Articles