HabariPilipili FmPilipili FM News

Ajuza Akalia Mtihani Wa KCPE.

Ajuza wa miaka 68 ni miongoni mwa watahiniwa wanaokalia mtihani wa KCPE katika shule ya Unoa huko Wote kaunti ya Makueni.

Veronica Kaleso mama ya watoto 10 na wajukuu 24   hakuficha furaha yake kwa kupata fursa ya kufanya mtihani huu baada ya kuacha shule mwaka wa 1969.

Anasema lengo lake kuu ni kuerevuka na kuweza kutumia simu yake ya rununu.

Show More

Related Articles