HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanafunzi Wote Watapata Nafasi Ya Kidato Cha Kwanza Asema Matiang’i.

Waziri wa usalama wa ndani Fred Matiangi ameshikilia usemi wa rais Uhuru Kenyatta kwamba wanafunzi wa darasa la nane watapata nafasi katika kidato cha kwanza.

Akiongea katika shule ya msingi ya Mtwapa Matiangi amewahakikishia wanafunzi hao kwamba watapata nafasi kidato cha kwanza mwaka ujao.

Wakati huo huo amewataka machifu kuhakikisha hakuna mwanafunzia nasalia nyumbani baada ya kukamilisha darasa la nane.

 

 

 

Show More

Related Articles