HabariPilipili FmPilipili FM News

Rais Uhuru Awatembelea Watahiniwa Wa Mtihani Wa KCPE.

Rais Uhuru Kenyatta amewahakikishia wanafunzi wanaofanya mtihani wa KCPE kwamba watapata nafasi katika kidato cha kwanza mwaka ujao.

Akiongea wakati wa ziara ya ghafla katika shule ya msingi ya Uhuru Gardens Langata, kabla ya kuanza kwa mtihani wa sayansi, rais amewapa moyo watahiniwa hao huku akiwahimiza kudumisha uadilifu wakati wa mtihani huo.

Show More

Related Articles