HabariMilele FmSwahili

Abiria 47 wanusurika baada ya basi walimokuwa kushika moto

Abiria 47 wamenusurika baada ya basi walimokuwa kushika moto. Walikuwa wakisafiri kuelekea Mombasa kabla ya basi hilo kushika moto eneo la Kavingoni.Haijabainika kilichopelekea basi hilo kushika moto.Hakuna aluiyejeruhiwa.

Show More

Related Articles