HabariK24 TvNATIONALSwahiliVideos

MGAAGAA NA UPWA : Mhudumu wa teksi Mandera ambaye ulemavu haujamlemaza 

MGAAGAA NA UPWA

Ulemavu huonekana pigo na mwisho wa kufanya kazi kwa wengi lakini kwa mzee Hussein Barre Abdile ni mwanzo tu wa maisha.

Mzee huyo dereva wa teksi katika kaunti ya Mandera hurauka kila asubuhi tafuta huku akiendesha gari lake kutumia mikono. Mzee Barre ndiye anatupambia makala yetu ya Mgaagaa na Upwa wiki hii.

 

Show More

Related Articles