HabariMilele FmSwahili

Msichana wa miaka 13 ajitoa uhai Elementaita Nakuru

Msichana wa miaka 13 amejitoa uhai huko Elementaita kaunti ya Nakuru.Ni baada ya msichana huyo kuzozana na binamuye kuhusiana na kitenda mbali cha runinga ukipenda Remote Control

Show More

Related Articles