HabariPilipili FmPilipili FM News

Mwanafunzi Ajifungua Akifanya Mtihani Wa KCPE.

Mwanafunzi Mwanajuma Hassan Ruwa  wa shule ya msingi ya Voroni huko Matuga kaunti ya Kwale atalazimika kufanya mtihani wake wa KCPE katika maternity za hospitali ya kwale baada ya kujifungua mapema leo.

Ocpd eneo la matuga Joel Chesire anasema msichana huyo amejifungua mwendo wa saa mbili asubuhi.

Hata hivyo  Chesire amesema msichana huyo tayari ameanza mtihani wake na usalama umeimarishwa kikamilifu.

 

Show More

Related Articles