HabariMilele FmSwahili

Aliyekuwa karani wa jiji la Nairobi John Gakuo afariki

Aliyekuwa karani wa jiji la Nairobi John Gakuo ameaga dunia. Gakuo amefariki leo katika hospitali ya Nairobi West. Alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 3 gerezani tokeo Mei mwaka huu baada ya kupatikana na kosa la ufisadi uliopelekea serikali ya kaunti kupoteza shilingi milioni 283

Show More

Related Articles