HabariMilele FmSwahili

Mlinzi 1 akamatwa na karatasi za mtihani wa darasa la 8 KCPE Kajiado

Mlinzi mmoja anazuiliwa katika  kaunti ya Kajiado anazuiliwa baada ya kukamatwa akiwa na karatasi za mtihani wa darasa la nane KCPE. Inadaiwa mlinzi huyo amepatikana na karatasi hizo katika shule ya msingi ya Irbisil. Mshirikishi wa kanda ya Rift Valley Mongo Chimwanga amesema mlinzi huyo aliyepatikana na mwalimu mkuu anachunguzwa kabla ya kufikishwa mahakamani.

Show More

Related Articles