Swahili Videos

KQ yatua Marekani : Safari ya kwanza ya moja kwa moja imewasili salama, New York

Ndege ya shirika la Kenya Airways aina ya Boeing Dreamliner iliyoondoka nchini jana usiku kutoka uwanja wa ndege wa JKIA kwa safari ya kwanza ya moja kwa moja hadi nchini Marekani hatimaye iliwasili katika uwanja wa ndege wa John F. Kennedy mjini New York .

Show More

Related Articles