Swahili Videos

Ajenda ya Mlima Kenya : Zaidi ya viongozi 70 wakiwemo wabunge wamekutana, Naivasha  

Zaidi ya viongozi 70 kutoka eneo kuu la Mlima Kenya waliochaguliwa kwenye tiketi ya chama cha Jubilee wakiwemo wabunge na maseneta wameafikiana kuwasilisha tetesi zao kwa rais Uhuru Kenyatta kuhusiana na suala zima la kupiga jeki miradi ya maendeleo katika eneo hilo.
Hata hivyo inadaiwa kuliibuka tofauti za kimsingi hasa za kisiasa
kutokana na suala zima la kura ya maamuzi, urithi wa urais wa mwaka 2022 na jinsi ya kuhakikisha kuwa eneo hilo linasalia kuwa na usemi mkuu serikalini baada ya mwaka 2022.

Show More

Related Articles