HabariMilele FmSwahili

Viongozi mbali mbali waendelea kuomboleza kifo cha babae Kalonzo ,Peter Musyoka

Viongozi mbali mbali wanaenddelea kuomboleza kifo cha babae kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka Peter Musyoka Mairu. Katika risala zake za rambi rambi Gavana wa Makueni aliyepia mwenyekiti wa Wiper Profesa Kivutha Kibwana Mzee Mairu atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika masuala mbali mbali ya kijamii. Mzee Mairu alifariki katika hospitali ya Nairobi Hospital baada ya kuugua

Show More

Related Articles