HabariMilele FmSwahili

Amina Mohamed akagua maandalizi ya mtihani wa KCPE Nairobi

Waziri wa elimu balozi Amina Mohamed asubuhi hii  anashuhudia maandalizi ya mtihani wa darasa la nane KCPE katika shule ya msingi ya Joseph Kang’ethe mtaani Kibra hapa Nairobi. Amina kisha anatarajiwa kutangaza aliyobaini wakati watahiniwa zaidi ya milioni 1 watakuwa wanaanza mitihani hiyo hapo kesho kwa muda wa siku 3.

Show More

Related Articles