K24 TvNEWSSwahiliVideos

AJALI MIGORI: Dkt. Pamela Odhiambo asafirishwa Nairobi kwa matibabu

Mwakilishi wa wanawake kutoka kaunti ya Migori, katika bunge la kitaifa Dkt. Pamela Odhiambo, amesafirishwa hadi hapa Nairobi kwa matibabu zaidi kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Jumapili asubuhi ambapo mlinzi wake alifariki papo hapo.

Show More

Related Articles