K24 TvNEWSSwahiliVideos

MATIMBO UHAI WETU!: Wenyeji Mandera walalamikia kufungwa matimbo

Wakaazi wa kaunti ya Mandera wanalalamikia kufungwa kwa matimbo ya mawe ya kujenga katika kaunti hiyo, hali iliyopelekea biashara kudhoofika na mamia ya watu kukosa kazi.

Matimbo hayo yalifungwa na Waziri wa Usalama wa ndani Fred Matiang’i kufuatia mashambulizi ya kigaidi na kuuawa kwa watu kadha katika timbo moja.

Show More

Related Articles