K24 TvNEWSSwahiliVideos

RAI MWILINI: Saratani kwa wanaume na jinsi ya kujizuia

Wakenya wengi wangali wamepuuzilia mbali dhana kwamba wanaume ni vigumu kupatikana na ugonjwa wa Saratani na hivyo kuamini kwamba wanawake wako kwenye hatari kubwa. Saratani inasababishwa na ukuaji wa seli zisiokuwa za kawaida na ingawa kuna baadhi za maradhi ya Saratani, Saratani ya kiume na Saratani ya matiti kwa wanaume ndio haswa inayowapata wanaume wengi.

Wanaume wengine haswa hupata jeni zisizokuwa za kawaida kutoka kwa wazazi wao na jambo hili husababisha wao kupatwa na ugonjwa wa saratani japo wana shauriwa kufanyiwa uchunguzi.

Show More

Related Articles