Swahili Videos

Watu 5 wafariki kufuatia ajali ya magari 3 eneo la Duka Moja, Narok

Watu watano wamethibitishwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa, baada ya matatu walimokuwa wakisafiria kugongana na malori mawili katika eneo la duka moja, kwenye barabara kuu ya Mai Mahiu kuelekea Narok.
Yadaiwa matatu hiyo inayomilikiwa na Transline Sacco  na inayobeba abiria kumi na wanne,  iligongana ana kwa ana na magari hayo, likiwemo lori lililokuwa likisafirisha samaki.

Show More

Related Articles