HabariMilele FmSwahili

Ekuru Aukot apinga pendekezo la kuvunja tume ya uchaguzi IEBC

Kinara wa chama cha Thirdway Alliance Dkt Ekuru Aukot amepinga pendekezo la kuvunja tume ya uchaguzi IEBC kwa madai inakumbwa na uhaba wa makamishna. Aukot amesema pendekezo hilo linalenga kuwanufaisha wanasiasa wachache wabinafsi nchini. Amesema ataongoza kampeni kabambe ya kuiongezea IEBC mamlaka na raslimali ili kuiwezesha kutekeleza majukumu yake kikamilifu.

Show More

Related Articles