Swahili Videos

Mauaji ya mwanaharakati Nyeri

Mwanaharakati wa siasa kutoka kaunti ya Nyeri Joan Muthoni amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kudungwa kisu na mpenziwe.

Aidha mshukiwa ambaye ni mlemavu alijisalimisha kwa maafisa wa polisi na sasa amezuiliwa katika kituo cha polisi cha Nyeri.

Katika kaunti ya Baringo kama anavyotuarifu Grace Kuria, familia ya mkewe aliyekuwa mkuu wa wilaya Paul Yatich sasa imeiomba mahakama ya Eldoret kusimamisha mazishi yake Loice Targok aliyeuawa kwa njia isiyoeleweka hadi uchunguzi ukamilike.

Show More

Related Articles