HabariMilele FmSwahili

Zaidi ya watu 37 Machakos kufanyiwa upasuaji wa masikio bila malipo

Zaidi ya watu 37 kaunti ya Machakos, wakiwemo watoto watafanyiwa upasuaji wa masikio bila malipo.Mkewe gavana wa Machakos Bi. Lilian Ng’ang’a  amezindua mpango huo ambao unafanyika katika hospitali kuu ya Machakos.Daktari wa upasuaji wa masikio kaunti ya Machakos Gachambi Mwangi anasema wanaolengwa  zaidi ni watoto  kutoka familia  ambazo hazijiwezi

Show More

Related Articles