HabariMilele FmSwahili

Baraza la magavana latangaza kuunga mkono kura ya maoni

Baraza la magavana limetangaza kuunga mkono kura ya maoni.Mwenyekiti wa baraza hilo Josphat Nanok anasema wanashinikiza  kuongezwa kwa mgao wa fedha zinazoelekezwa kwa kaunti kwenye marekebisho hayo.Baraza hilo  pia limewakemea maseneta wanaosema wamekuwa na mazoea ya kuingilia utendakazi wao gavana Nanok akisema ni taasisi za seneti na bunge la taifa zilizo na jukumu hilo na wala sio maseneta binafsi.

Show More

Related Articles