HabariMilele FmSwahili

Mwili wa mtoto wa miaka 13 wapatikana kwenye mto Athi Machakos

Polisi  katika kaunti ya Machakos wanachunguza kifo cha mtoto wa miaka 13 ambaye mwili wake umepatikana ukielea kwenye mto Athi baada ya kuripotiwa kutoweka jumanne wiki hii.  OCS wa Oldonyo Sabbuk Nicholas Nyongesa, anasema mmvulana huyo aliyekuwa mwanafunzi katika shule ya msingi ya Kyeleni kaunti ya Machakos alipotea siku ya juma pili baada ya kutoka dukani jioni.

Show More

Related Articles