Swahili Videos

Maribe na ‘Jowie’ kujua iwapo wataachiliwa kwa dhamana Jumanne

Washukiwa wakuu wa mauaji ya Monica Nyawira Kimani Joseph Irungu almaarufu ‘jowie’ na mwanahabari Jacque Maribe watajua hatma yao iwapo wataachiliwa kwa dhamana Jumanne wiki ijayo.
Hii leo kabla ya kusikizwa kwa maombi yao ya kuachiliwa kwa dhamana wawili hao walilazimika kujibu mashtaka dhidi yao upya baada ya upande wa mashtaka kubadilisha vipengee kadhaa katika kesi inayowakabili.

Show More

Related Articles