Swahili Videos

Gari moshi lilianguka eneo la Jua Kali Kaunti ya Uasin Gishu likisafirisha ngano

Gari moshi lililokuwa limebeba ngano kutoka jiji la Mombasa kulekea taifa jirani la Uganda lilipoteza mwelekeo na kuanguka katika maeneo ya jua kali kaunti ya Uasin Gishu hii leo na kupelekea hasara ya mamilioni ya pesa.
Maafisa wa polisi walikuwa na wakati mgumu kuwazuia  raia waliofurika eneo la mkasa kwa nia ya kupora ngano hiyo.

Show More

Related Articles