HabariPilipili FmPilipili FM News

Shilingi Milioni 175 Zatengwa Kujenga Barabara Kwale.

Serikali ya kaunti ya Kwale imetenga shilling milioni 175 za ujenzi wa barabara ya Kona ya Musa hadi Kona ya Masai huko Shimbahills ,ili kutatua changamoto za usafiri zinazoshuhudiwa  kwa sasa hususan kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha TUM tawi la kwale wanaotumia barabara hio.

Gavana  wa  kaunti  hio Salim Mvurya   anasema watahakikisha barabara zote za kaunti hiyo zinakarabatiwa,  kama njiamojawapo  ya  kufungua  uchumi   na maendeleo ya  kaunti hiyo .

 

 

Show More

Related Articles