Swahili Videos

Obado ajizatiti rumande

Zachary Okoth Obado ,gavana wa Migori ametawala vinywa vya wakenya wengi tangu alipokamatwa Septemba 21 kuhusiana na mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha Rongo Sharon Otieno.

Wengi wa wakenya hata hivyo wamekuwa wakidhania gavana Obado amekuwa akipokea huduma maalum korokoroni lakini sivyo.
K24 saa moja inakuletea hali halisi ndani ya gereza anamoishi gavana wa Migori Okoth Obado.

Show More

Related Articles