HabariMilele FmSwahili

Wabunge 2 wa Marsabit wanaotuhumiwa kuchochea ghasia kubaini hatma yao leo

Wabunge Chachu Ganya wa Horr Kaskazini na Ali Rasso wa Saku wako mahakamani hapa Nairobi wakikabiliwa na kesi ya uchochezi katika maeneo yao.2 hao ambao wanasubiri kubaini iwapo hakimu mkuu Kennedy Cheruiyot atawaachilia kwa dhamana au la baada yao kukanusha mashtaka hayo ya ucghochezi.Ganya na Rasso ambao walilala katika kituo cha polisi cha Kileleshwa usiku wa kuamkia leo wanadaiwa kusababisha maafa ya watu 14 katika kaunti hiyo ya Marsabit baada ya kuibuka makabiliano ya kiukioo.

Show More

Related Articles