Swahili Videos

Rais awashtumu waliopewa nafasi serikalini kwa kutowajibika

Rais Uhuru Kenyatta amewapa onyo viongozi wote vijana kwenye serikali yake akisisitiza kwamba iwapo hawatajimudu na kuwajibikia majukumu yao ipasavyo wawe tayari kupigwa kalamu.
Vile vile rais amehimiza muungano wa kiuchumi wa eneo la maziwa kuzidisha juhudi zake na kuwa mfano bora kwa jumuiya zingine za kaunti mbali mbali nchini.

Show More

Related Articles