Swahili Videos

Watahiniwa 81 kutoka Marsabit waathiriwa na ukosefu wa usalama

Kufuatia hali hiyo ya ukosefu wa usalama inayoshuhudiwa katika kaunti ya Marsabit, takriban shule 18 zimesalia kufungwa.
Kulingana na mkurugenzi wa elimu wa kaunti hiyo Milton Nzioka, watahiniwa 81 wa KCSE huenda wakaathirika na kuukosa mtihani.
Aidha kama mwanahabari wetu Grace Kuria anavyotueleza, rais Uhuru Kenyatta amewahimiza wazazi na walimu kwa jumla kutowashinikiza wanafunzi kupata alama za juu iwapo hawana uwezo huo.

Show More

Related Articles