HabariMilele FmSwahili

Wakulima wa mahindi wapinga bei ya gunia la mahindi ya 1400

Huenda bei ya kilo 2 ya mahindi ya shilingi 75 ikapanda baada ya wakulima hassa katika eneo la Uasingishu kupinga bei ya kuuza mahindi kwa wasagaji iliyopendekezwa na serikali. Mkuu wa chama cha wakulima eneo hilo Kipkorir Menjo anadai kuwa wakulima watapata hasara kubwa iwapo watashurutishwa kuwauzia wasangaji mahindi yao kwa shilingi 1400. Ameitaka serikali kuitisha kikao cha dharura na wakulima kupata utatuzi kwa suala hilo.

Show More

Related Articles