HabariMilele FmSwahili

Rais atoa onyo kali kwa watakaoshiriki udanganyifu kwa mitihani ya kitaifa

Watakaoshiriki udanganyifu kwa mitihani ya kitaifa ya KCPE na KCSE watakiona cha mtema kuni.Hakikisho hili ametoa Rais Uhuru Kenyatta ambaye amekariri serikali haitaruhusu mitihani kuendelea kuibwa na kuwanyima wanafunzi alama zao, rais anasema serikali imeekeza kikamilifu katika elimu na hakuna mwanafunzi ambaye atakosa kujiendeleza kielimu licha ya alama wanazopata.

Show More

Related Articles