HabariMilele FmSwahili

Mtihani wa kitaifa wa kidato cha 4 KCSE waanza rasmi leo

Mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE umeanza rasmi leo, wiki hii ikiwa zamu ya mitihani ya Practicals. Watahiniwa watakikalia mitihani ya lugha za Kijerumani, Kiarabu lugha ya Ishara na Sayansi Kimu. Ni mitihani inayoanza huku rais Uhuru Kenyatta akitoa onyo kali kwa wazazi sawa na watahiniwa ambao watapatikana na karatasi gushi. Rais akisema wazazi watafungwa jela na watanihiwa kupelekwa katika shule za kurekebisha tabia.

Show More

Related Articles