English VideosK24 TvNEWSVideos

RAI MWILINI: Wakenya wamechangamkia mbinu mpya ya kujipima ukimwi

Kwa muda mrefu sasa watalaam wa Kisayansi wamekuwa wakitafuta tiba ya virusi vya Ukimwi huku wengi walioathiriwa wakirefusha maisha yao kwa kutumia dawa za kupunguza makali za ARVs.

Kwenye makala ya rai mwilini tunaangazia jinsi unavyoweza kujua iwapo una virusi vya Ukimwi kwa kujipima mwenyewe mahala popote pale.

Show More

Related Articles