HabariSwahili

Familia ya watu 4 iliyoangamia ajalini yazikwa,Kakamega

Huzuni ilitanda katika kijiji cha Ingotse kaunti ya Kakamega ambapo  jamaa na marafiki wa jamaa wanne wa familia  moja walioangamia kwenye ajali ya Fort Tenan, walifika kuwapungia marehemu mkono wa buriani.

Wanne hao  walikumbana na mauti walipokuwa wakielekea  kwa mazishi ya jamaa wao.

Show More

Related Articles