HabariSwahili

Afisa wa polisi wa kikosi cha Recce akamatwa kama mshukiwa

Afisa mmoja wa polisi wa kitengo cha Rekke amekamatwa jijini Nairobi kuhusiana na mauaji ya Monica Kimani aliyeuawa kinyama Septemba 19 nyumbani kwake eneo la Kilimani, Nairobi.

Afisa huyo kwa jina Jennings Okoth Orlando alikamatwa na kisha kuzuiliwa katika kituo cha polisi cha Muthaiga, kabla ya kufikishwa katika makao makuu ya upelelezi wa jinai kwa mahojiano.

Kama anavyoarifu Franklin Wallah, Jennings atazuilia kwa siku 14 zaidi ili kusaida katika uchunguzi.

Show More

Related Articles