HabariSwahili

Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Rongo hatimaye azikwa Homabay

Mwili wa mwendazake Sharon Otieno, aliyekuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Rongo hatimaye umezikwa nyumbani kwao Magare kaunti ya Homa Bay katika hafla iliyohudhuriwa na mamia  ya watu.
Viongozi tofauti waliozungumza walisitiza sharti haki itendeke na waliomuua mwanafunzi huyo kikatili pamoja na kijusi chake cha miezi 7 wakabiliwe vilivyo kisheria.

Show More

Related Articles