HabariMilele FmSwahili

Kenya kushirikiana na Namibia katika miradi ya maendeleo

Kenya itashirikiana na taifa la Namibia katika miradi ya meaendeleo ili kuimarisha uchumi katika mataifa haya mawili.Akizungumza katika ikulu hapa Nairobi baada ya mkutano  na rais Hage Geingob wa Namibia , Uhuru amesema ushirikiano kati ya mataifa haya mawili utasaidia katika kuafikia ajenda kuu nne.Kwa upande wake rais Hage Geingob amelishukuru taifa kwa kuendelea kuisaidia Namibia katika wizara elimu afya na kilimo.

Show More

Related Articles