HabariMilele FmSwahili

Watu 6 wazuiliwa kwa kujihusisha na biashara ya uuzaji nepi bandia za watoto

Washukiwa 6 wanazuiliwa na polisi baada ya kunaswa tani kadhaa za nepi za watoto zenye dhamani ya mamilioni ya fedha. Washukiwa wamefumaniwa wakipakia nepi hizo kufuatia msako ulioendeshwa na maafisa wa polisi na wale wa shirika la kukadiria ubora wa bidhaa nchini KEBS. Nembo kadhaa za KEBS ambazo zilikuwa zimepitisha muda wa kutumika zimepatikana.

Show More

Related Articles