HabariMilele FmSwahili

Sonko aahidi kufadhili elimu ya wanafunzi watakaopata alama 400 na zaidi kwa KCPE

Gavana wa Nairobi Mike Sonko ameahidi kufadhili elimu ya shule upili kwa watahiniwa wa darasa la nane watakaopata alama ya 400 na zaidi kwenye mtihani wa KCPE mwaka huu. Gavana Sonko ametoa ahadi hiyo alipowatembelea watahiniwa wanaojiandaa kwa ajili ya KCSE katika shule kadhaa za msingi hapa jijini Nairobi. Sonko ambaye pia amewakabidhi vifaa mbali mbali vya mitihani amewahimiza wanafunzi hao kujiepusha na udanganyifu.

Show More

Related Articles