HabariMilele FmSwahili

Aisha Jumwa na Suleiman Dori wafika mbele ya kamati ya nidhamu ya ODM

Wabunge Aisha Jumwa wa Malindi na Suleiman Dori wa Msambweni wamefika mbele ya kamati ya nidhamu ya chama cha ODM mapema leo. Jumwa na Dori wamejiwasilisha mbele ya kamati hiyo inayoongozwa na mwenyekiti Fred Athuok, wakiandamana na wakili wao Kioko Kilukumi. Wawili hao waliagizwa kufika mbele ya kamati hiyo kuelezea msimamo wao chamani hasaa bada ya kuonekana kuegemea mrengo wa naibu rais William Ruto katika uchaguzi mkuu ujao mwaka wa 2022.

Show More

Related Articles