HabariMilele FmSwahili

Sonko amtaka Seneta Cheruiyot kukoma kuingilia maswala ya uongozi Nairobi

Gavana wa Nairobi Mike Sonko amemtaka seneta wa Kericho Aaron Cheruiyot kukoma kuingilia masuala ya uongozi Nairobi.Sonko ametaja mswada wa Cheruiyot kutaka kaunti ya Nairobi ivunjwe kama siasa ambazo hazitakubalika kamwe.Ameyasema hayo huku kamati ya seneti kuhusu sheria ikisema imepokea mswada huo na inautathmini kubaini iwapo unaafikia vigezo hitajika.

Show More

Related Articles