HabariSwahili

Shule 18 zikiwemo 16 za msingi zafungwa Saku kufuatia machafuko

Hali ya taharuki ingali imetanda eneo la Jaldesa katika eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit kufuatia vita baina ya jamii mbili zinazozana.
Kufikia sasa shule 18 zikiwemo 16 za msingi na 2 za upili zimesalia kufungwa huku watu 11 wakipoteza maisha yao na wengine wawili wakiwa wanauguza majeraha katika hospitali ya rufaa ya Marsabit.

Show More

Related Articles