HabariPilipili FmPilipili FM News

Wengi Hawakuhusishwa Katika Mswada Wa Kubadilishwa Kwa Tarehe Ya Uchaguzi Asema Mwambire.

Mbunge wa Ganze Teddy Mwambire ni kiongozi wa hivi punde kujitokeza wazi kuzungumzia kuhusu mswada wa mbunge wa Kiminini Chris Wamalwa wakugeuza tarehe ya uchaguzi

Mwambire amesema wakenya wengi walikua hawaungi mkono mabadiliko ya tarehe ya uchaguzi hivyo haukuwa na mhimu kupita.

Amedokeza marekebisho ya vipengele vya katiba ni mazuri lakini yanafaa kuwahusisha wananchi kwa jumla.

Chris Wamalwa alikua amepeleka mswada bungeni akitaka tarehe ya uchaguzi ibatilishe kutoka nwezi wa nane hado mwezi wa Disemba lakini mswada huo haukupita baada ya kukosa thuluthi tatu ya uungwaji mkono wa wabunge.

Show More

Related Articles