HabariMilele FmSwahili

Sonko apuuzilia mbali pendekezo la kaunti ya Nairobi kuwekwa chini ya serikali kuu

Gavana Mike Sonko amepuzilia mbali pendekezo la kutaka  kaunti ya Nairobi kuwekwa chini ya usimamizi wa serikali kuu.Akirejelea mswaada wa seneta wa Kericho Aaaron Cheruiyot unaotaka kuvunwja kaunti hii na Nairobi, Sonko amesema jiji la Nairobi lina uwezo wa kujisimamia.amesema seneta huyo ana haki kuandaa mswada huo.Wakati huo huo Sonko ameendelea kumhimiza mwenzake wa Murang’a Mwangi wa Iria kusitisha mgogoro wa maji baina ya kaunti hizo mbili.Sonko amemtaka wa Iria kuruhusu serikali kuu kupitia wizara ya maji kukamilisha miradi ya maji eneo hilo ili kuongeza kiwa

Show More

Related Articles