HabariMilele FmSwahili

Mwanafunzi 1 amuua mwenzake katika shule ya upili ya Lugusi Kakamega

Wizara ya elimu imeanzisha rasmi uchunguzi kuhusiana na kisa cha jana cha mwanafunzi mmoja kumuua mwenzake katika shule ya upili ya Lugusi kaunti ya Kakamega.Kikosi cha uchunguzi kimetumwa na waziri Balozi Amina Mohamed kubaini chanzo cha mauaji hayo. inaarifiwa kuwa mwanafunzi mmoja wa kidato cha pili alimuua kwa kumdunga kisu mwenzake kufuatia ugomvi baina yao.

Show More

Related Articles